(Vaginal Candidiasis)WANAWAKE
Zaidi ya asilimia 75% ya wanawake wamewahi kupata fangasi za sehemu za siri.
Wanawake wengi wanasumbuliwa na fangasi zaidi ya mara moja katika maisha yao.
Sababu
Fangasi za sehemu za siri (au vaginal candidiasis) husababishwa na fangasi waitwao Candida albicans.
Candida albicans mara nyingi hubebwa katika utumbo, chini ya kucha, na kwenye ngozi.
Katika sehemu za siri, kawaida kuna mazingira ambayo huzuia fangasi na bacteria wengine kukua.
Hii hali ikibadilika huongeza uwezo wa fangasi kushambulia
sehemu za siri.
Sababu hatarishi:
Ujauzito.
Matumizi ya ‘diaphram’ au dawa za majira (oral contraceptives)
kama njia ya kuzuia mimba.
Kisukari.
Uchafu wa mwili na vyoo.
Matumizi ya dawa zinazopunguza kinga ya mwili kama steroids.
Dalili
Muwasho maeneo ya sehemu za siri.
Maumivu yanayoambatana na muwasho.
Majimaji mengi sehemu za siri, yanaweza kuwa na rangi nyeupe au harufu mbaya.
Wekundu sehemu za siri
Dawa
Clotrimazole
Fluconazole
Zinapatikana kama vidonge, au krimu ya kupaka.
Njia za kuzuia
Kuoga vizuri kila siku, sanasana mara mbili kwa siku.
Kujisafisha vizuri kwa maji salama mara baada ya kujisaidia.
Kuhakikisha unakausha vizuri sehemu za siri kila mara
unaponawa kuzuia uwezekano wa unyevu kubaki na kurahisisha fangasi kukua.
Kuwa makini katika usafi wa nguo za ndani na ukavu kabla ya kuzivaa.
Tumia vyoo ambayo ni visafi.

No comments:
Post a Comment