Lucifer, Mkuu
wa mashetani  aliitisha
semina elekezi kwa mashetani wote Duniani na katika hotuba yake ya ufunguzi wa
mkutano
huo alisema:-
huo alisema:-
"Tumeshindwa kuwazuia WANADAMU wasiende kwenye nyumba
za
IBADA" Tumeshindwa kuwazuia wasisome VITABU vyao vitakatifu na kufahamu
ukweli"
Tumeshindwa hata kuwazuia wasiwe na mapenzi ya kweli kwa MITUMEyao   " "Mara
wapatapo muungano wa kweli kwenye MAHUBIRI ya DINI zao, mamlaka yetu yatakuwa
yamefika mwisho."
Kwa hiyo kuanzia sasa waacheni waende kwenye nyumba zao za IBADA, waacheni waendelee na karamu zao za upendo,
LAKINI waibieni muda, ili wasipate nafasi ya kudumisha IBADA za kweli kweli kwa MOLA WAO MUUMBA...."
Tumeshindwa hata kuwazuia wasiwe na mapenzi ya kweli kwa MITUME
Kwa hiyo kuanzia sasa waacheni waende kwenye nyumba zao za IBADA, waacheni waendelee na karamu zao za upendo,
LAKINI waibieni muda, ili wasipate nafasi ya kudumisha IBADA za kweli kweli kwa MOLA WAO MUUMBA...."
"Hiki ndicho ninachotaka mfanye." Alisema Lucifer:
"wataabisheni
WANADAMU WOOTE wasipate kamwe kushikamana na DINI zao na wasifungamane katika
KUMCHA MUNGU"  
"Tutafanyaje jambohilo  ?"
mashetani yalimwuuliza
kwa jazba.
"Tutafanyaje jambo
kwa jazba.
LUCIFER
aliwajibu:
"hakikisheni wanakuwa 'BUSY' (BUSY= Being Under
Satan'sYork  
) katika mambo yasiyokuwa na umuhimu katika 
"hakikisheni wanakuwa 'BUSY' (BUSY= Being Under
Satan's
maisha
yao  na muwanzishie mipango mingi sana   isiyohesabika ili 
kujaza
akili na ufahamu wao. "Washughulisheni na kutumia, na kutumia, na kutumia;
na kukopa, nakukopa, na kukopa." 
”Washawishini wake zao waende kufanya kazi kwa siku na kushinda huko kwa masaa mengi sana kwa siku na Waume
”Washawishini wake zao waende kufanya kazi kwa siku na kushinda huko kwa masaa mengi sana kwa siku na Waume
zao
wafanye kazi kwa siku sita hadi saba kwa wiki, na masaa 
10
hadi 12 kwa siku, ili wasiweze kupata nafasi ya kutulia na kutafakari chochote
kulingana na mfumo huo wa maisha." "Wazuieni wasiwe na nafasi ya
kukaa na watoto wao"   
"Wachocheeni zaidi akili na fahamu zao ili kuhakikisha
kwamba
hawaiskii ile sauti ndogo tulivu ya Mungu wao." 
"Washawishini walize radio au kaseti au muziki kwenye simu,
"Washawishini walize radio au kaseti au muziki kwenye simu,
popote
wanapoendesha gari au wanapotembea kwa miguu. 
Waache
TV,VCR, CD na KOMPYUTER zikiwa zimewashwa kama 
kawaida majumbani mwao na mhakikishe kwamba kila duka na mgahawa kote duniani
linapiga muziki usiokuwa wa KIDINI 
tena
mfululizo bila kukoma."  "Hii itasonga akili na fahamu zao 
na
kuvunja ule muungano kwa MOLA WAO." 
"Jazeni magazeti na vijarida mbalimbali vya upuuzi kwenye
meza
zao za kahawa na chai Duniani kote." 
"Shindilieni habari na matukio mbalimbali ndani yafahamu zao
kwa
muda wa masaa 24."  "Ingilieni kwenye muda wao wa 
kuendesha
barabarani kwa kuwaonyesha mabango na matangazo.'  "Kwenye masanduku
ya posta na barua pepe jazeni vipeperushi 
na
majarida na kila aina ya matangazo ya habari za vitu na hudumu yanayowapa
matumaini ya uongo." 
"Wekeni wanawake warembo sana mitaani, club, maofisini na kwenye Televisheni na majarida ili kwamba Wanaume walioko kwenye ndoa wadanganyike na kuamini kwamba urembo wanje ndio muhimu, na wasiridhike na wake zao."

"Wafanyeni wake zao wachoke
upendo
kwa waume zao nyakati za usiku.Wapeni maumivu 
ya
kichwa ili wasiwape waume zao upendo wanaouhitaji 
"Hiyo
itaparaganyisha familia zao haraka sana  
! 
"Wapeni
WANADAMU Waalimu wa uongo ili wawapotoshe wasifundishe maneno ya MUNGU ya kweli
kwa watoto wao 
na
waumini wao."  
"Hakikisheni wanakuwa 'BUSY' na kusongwa na mambo kiasi kwamba hawapati muda wa kutafakari wema wa Mungu. Badala
"Hakikisheni wanakuwa 'BUSY' na kusongwa na mambo kiasi kwamba hawapati muda wa kutafakari wema wa Mungu. Badala
yake
wapeni kutalii kwenye maeneo ya ajabu, matukio ya 
michezo,
matamasha, kumbi za sinema na video."Wafanye wawe 'BUSY,' 'BUSY,' 'BUSY,!
Yaani wasongwe na kusongwa na 
kusongwa
na kazi kwelikweli!"   
"Na
wanapokutanika kwenye ibada zao za kiroho wafanye 
waingie
katika umbea na fitina na kuzungumzia  mambo 
madogo
madogo ya umbea na fitina ili waondoke wakiwa na dhamira mbaya
zilizochafuliwa."  
"Jazeni visababishi vingi vya mambo katika maishayao   ili 
"Jazeni visababishi vingi vya mambo katika maisha
wasiwe
na nafasi ya kutafuta msaada na nguvu za MUNGU. 
Muda
si mrefu watakuwa wakitegemea akili zao wenyewe, 
badala
ya maelekezo ya MUNGU, huku wakihatarisha afya 
zao
na za familia zao kwa ajili ya maangamizi  yao   wenyewe." 
"Itafanya kazi" "Itafanya kazi!
"Itafanya kazi" "Itafanya kazi!
"Huu
ni mkakati kweli kweli. Mashetani yaliondoka kwenye 
mkutano
yakiwa na hamu kubwa sana  
ya kutekeleza majuku 
hayo
waliyopewa na kuanza kuwafanya WANADAMU wawe 
wa
kukimbia na mambo huku na huko. Watakuwa na muda 
mdogo
sana   kwa ajili
ya Mungu wao na familia zao. Wakakosa 
muda
wa kuwaeleza wengine kuhusu MAMBO YA IBADA na 
kubadili
maisha ya wanadamu.
NADHANI SWALI NI JE SHETANI AMEFANIKIWA
KATIKA MIPANGO YAKE HIYO? WEWE NDIYE HAKIMU !!!!!!!!
NADHANI SWALI NI JE SHETANI AMEFANIKIWA
KATIKA MIPANGO YAKE HIYO? WEWE NDIYE HAKIMU !!!!!!!!
'UBIZE'
au kutingwa na kazi kunamaanisha : kuwa chini ya mkataba au utumwa wa shetani?
PLEASE PASS THIS ON, IF YOU AREN'T TOO BUSY !!
PLEASE PASS THIS ON, IF YOU AREN'T TOO BUSY !!

No comments:
Post a Comment