Neno YEHOVA ni neno la kihebrania (Hebrew) lugha inayo fanana na kiarabu kwa kifupi lugha hizi ni sister language yaani ni lugha ndugu. Lugha zote hizo huandikwa kutoka kushoto kuelekea kulia, kifupi zinashabihiana.
Neno hili haswa uandikwa hivi Yehovah na limetokana na herufi zifuatazo Y.H.W.H. (Yet, Huh, Wav, Huh). Nayo utamkwa hivi (YAHUWAH). Kwa miaka mingi sana neno hili kwa wayahudi walikuwa hawalitumii hata kidogo. Neno lilo kuwa likitumika kwa maana ya Mwenyezi Mungu ni "Elohim." Miaka mingi baadae likaja kutumika na madhehebu mbali mbali ya kikristo ya kimarekani yakiwemo The Seventh Day Adventists, The Christian Scientists, The Menonites, The Christiadelphins, The Jehovah's Witnesses na wengineo. Mashahidi wa yehova wao wapo mstari wa mbele sana kulitmia neno hili zaidi ya wakristo wote, mara nyingi hukikutana nao au wakija majumbani mwetu hupenda kutuhuliza swali hili. Je jina la Mungu ni lipi. Wakiwa na maana Mungu si jina wala bwana si jina bali ni cheo. Na ukiwa wewe ni mkristo wa madhehebu mengine kama vile cathoric na ukijibu kuwa Mungu ni baba, watakuhuliza tena baba yako ni mungu? Kwa uhakika na kujiahamini watakwambia kuwa mungu wako jina lake ni Jehovah.
Kama nilivyo eleza hapo juu maneno haya yametokana na herufi nne Y.H.W.H. (yanatamkwa Yet, Huh, Wav, Huh). Asili ya biblia zote hazikuwa na neno Yehovah, maneno yaliyokuwapo ni YHWH, tu basi. Wataalam wa maneno wametumia kitu kinacho hitwa 'tetragrammaton' haya ni maneno ya kigiriki na yalifanyiwa uchambuzi wa kina. Neno "Tetra," in Greek lina maana ya NNE (FOUR), na "grammaton," lina maana ya HERUFI (LETTERS). Kwa urahisi tunaweza kusema ni "a four letter word." Lakini kama ilivyo lugha ya kiarabu na ki’hebrew ili uweze kusoma inabidi kuwepo na kitu kinacho itwa ‘vowels’ wayahudi na waarabu wa zama hizo na wale wachache wa zama hizi wanaweza kusoma herufi zao bila ya kweka hizi vowel signs. Lakini kama ilivyo kawaida ya nchi za kimagharibi kwa kupenda kubadirisha mambo na kuyaweka vile watakavyo wao baada ya kutia hizo vowels neno YHWH lingetakiwa kusomeka kama hivi YeHoWaH. Lakini je sasa neno Jehovah limekujaje? Haya ni maradhi makubwa sana kwa nchi hizi za ulaya na haswa kipindi cha karne ya 16th wao kwenye kila herufi Y wamekuwa wakitamka J.
Mfano: Yael wanaita Joel, Yehuda wameita Juda, Yeheshua wameita Joshua, Yusuf wanaita Joseph, Yunus wanaita Jonah, Yesus wanaita Jesus, na neno hili Yehowah wanaita Jehovah,(angalia hapa Y na W zimeondoka). Herufi hizi YHWH kwenye biblia ya kiyahudi limeandikwa mara 6823. ukilinganisha na neno Elohim ambalo limeandikwa mra 156 tu. Wataalmu wa biblia maneno haya YHWH/ELOHIM na kuyatafsiri kuwa ni Bwana Mungu (Lord God).
Neno hili YHWH kwenye lugha ya kiarabu linatumika sana na wala halina mushkeri wowote hule. Kwani kama nilivyo eleza hapo mwanzo, hizi lugha ni lugha dada ama lugha ndugu. Kuna mameno mengi sana yanashabihiyana,
Mfano:
H= Hebrew, A= Arabic, K= Kiswahili, na E= English.
H: Elah, A: Ilah, K: Mungu, E: god.
H: Ikhud, A: Ahud, K: Moja, E: one.
H: Yahum, A: Yahum, K: Siku, E: Day.
H: Shaloam, A: Salaam, K: Salama, E: Peace.
H: Yahuwa, A: Ya Huwa, K: M’Mungu, E: oh he.
Tuangalie kitu kingine muhimu sana kwenye lugha hizi mbili. Kwenye lugha hizi kuna uwingi wa namna mbili. Kuna uwingi wa namba (plurals of numbers) na uwingi wa heshima (plural of honour or plural of respect). Na huwingi huu ndo ulowachanganya watu wa magharibi na kupelekea kumfanya M’Mungu kuwa zaidi ya mmoja na kushindwa kutafsiri baadhi ya vipengere vya biblia. (mfano mw 1:26 Mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu…). Turudi kwenye maneno yetu yale mawili YHWH/ELOHIM.
Hapa neno ELOHIM limebeba sifa ya uwingi (neno linalotia uwingi hapani IM) kwa hiyo ELOHIM =ELOH + IM. Na kwenye neno YAHUWA = YA+HUWA. Ukiondoa neno YA lenye maana ya ‘Oh’ na neno lenye uwingi wa heshima IM, utabakiwa na maneno haya; Huwa Eloh au Huwa na Elah. Kumbuka kwamba kwa kihibrania neno Mungu ni El au Elah au Eloh kwa jinsi hiyo tunaweza kutamka hivi "Huwa el Elah" au HUWA 'L LAH, neno hambalo halina tofauti na neno toka kwenye Qur’an ‘Huwal lah hu’ (meaning: HE IS ALLAH) toka kwenye aya hii QUL HUWAL LAH HU AHUD
Vile vile kuna neno hili ambalo wakristo wengi wanapenda kulitamka "ALLELUYA." Lakini wengi wao hawajui maana yake. Kwenye biblia neno hili limetafsiriwa kuwa ni ‘ msifuni Bwana’ (Ufunuo 19:1). Neno hili kwa waarabu wao ulitamka kama Ya AllaHu, na kwa kiyahudi ni Ya-Alle-lu hii kwa kiingereza watatamka Oh Allah kwa maana ya wewe tu upaswaye kuabudiwa. Kwa wayahudi na wakristo wa kiarabu kwao maneno haya si mageni na wala hawana ubishani wa kutaka kutofautisha maneno haya kati ya YEHOVAH na ALLAH. Kwani neno El, Eli, Alle, Elah, Alah, Allah ni neno lenye maana moja tu yaani Menyezi Mungu.
Ushahidi mwingine kwa wale wote ambao bado wana mashaka na kile nilicho kieleza hapo juu, nitatoa ushahidi kutoka kwenye biblia ya kiarabu hapa chini (Biblia Takatifu ya Kiarabu). Tafsiri hii ya Biblia ambayo hujulikana kama "Al-Kitaab Al-Muqadis' (yaani Kitabu Kitakatifu), hutumiwa na Wakristo wanaozungumza lugha ya Kiarabu (ambao bado wapo kiasi cha millioni 15 katika Mashariki ya Kati peke yake). Kwa wale ambao hawafahamu herufi za Kiarabu nimeziandika kwa lugha ya kilatini ili wapate kusoma. Pia aya kutoka kwenye Qur'an ili wapate kulinganisha. Neno hili"Allah" nimelikoza (BOLD) ili wasomaji wapate kulitambuwa kirahisi. Insha’Allah, mifano hii itaondoa mashaka kwa wale walioingizwa kwenye mkumbo wa kuamini kwamba "Waislamu wanaamini Mungu tofauti" na propaganda za Wamishionari wa Kikristo.
Qur'an 1:1 "Bismi Allahi ar-Rahmaan ar-Rahiim"
"Kwa Jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu"
* Biblia ya Kiswahili (Mwa 1:1)
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi"
Biblia ya Kiarabu (Mwanzo 1:1)
"Fiy-al-badi' khalaqa Allahu as-Samawawwat wal Ardh"
(Yoh 3:16)
"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa…"
Kiarabu: "Li-annhu haakadha ahabba Allahu ul 'Aalama hataa badhala"
(Luka 1:30)
"Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu"
Kiarabu: "Laa takhaafiy, yaa Maryam, li-annaki qad wajadt ni'mat(an) 'inda Allahi"
(Luka 3:38)
"wa Enoshi, wa Sethi, wa Adamu, wa Mungu"
"bni anuusha, bni shiyti, bni Aadama, abni Allahi."
(Mat19:17) * English bible * New King James Version
"There is none good but one, that is, God" angalia hapa kwenye biblia ya King James Swahili version na hata ile ya revised standard version na version nyinginezo nyingi maneno haya hayamo …that is, God ( naye ni Mungu).
Biblia ya Kiarabu (Mat19:17): "laysa ahadun saalihaan illa waahdun wa huwa Allahu"
Yaani "aliye mwema ni mmoja, naye ni Mungu"
Kwa kumalizia makala haya nimeonelea kujibu baadhi ya Aya ya Qur’an ilonakiliwa vibaya na ndugu yangu huyu ili kutimiza azma yake ya kupotosha wasomaji wa forum hii nayo ni aya hii kutoka QUR'AN 53:32
Neno ‘msizitakase nafsi zenu’ lina maana ya ‘msizisifu nafsi zenu’.
(As Allah knows our inmost being, it is absurd for us to justify ourselves either by pretending that we are better than we are or by finding excuses for our conduct. We must offer ourselves unreservedly such as we are: it is His Mercy and Grace that will cleanse us. If we try, out of love for Him, to guard against evil, our striving is all that He asks for).
Haya hii ni kwa wale wanafiki wambao ujionesha kwa watu kuwa wao ni watakatifu. NA Allah (swt) anawaambia kuwa yeye anawajuwa binadam waliyo takasika. Sasa sijui ndugu yangu yangu (yus4christ) haya maneno ya maisha ya usengenyaji, uporaji, wizi na mengine yanayofanana na hayo. Amabayo unadai kuwa waislam wanapaswa kuishi hivyo umeyapata wapi?! Hizi ndo tunaitwa negative thinking.
Aya nyingine unaliyo jaribu kuipotosha kwa kunakili vibaya hadithi ni Qur’an 50:30 ambayo inasema:-
Siku tutakapoiambia Jehanamu: je umejaa? Nayo itasema : kuna zaidi? (zaidi na ije).
Ufafanuzi ulio uleta ni kutoka Sahih Al-Bukhary Vol. 6 hadithi no 372. inasema hivi:
Narrated Anas, “the prophet said, the people will be thrown into the hell (fire) and it will say, are there any more to come? Till Allah puts his foot on it and it will say QAT, QAT (enough, enough)”
Hapa neno ‘on it’ lina maana gani? Ukiangalia tafsiri ya Kiswahili kwenye kamusi ya TUKI neno ON lina maana ya juu ya… kamusi ya kiingereza inasema OVER’ maana yake si ndani ya… kama ulivyotaka watu waelewe. Hapa maana yake ni ‘juu ya…’ over it. Na si ndani ya... Haya ndo maradhi yale yale ya Y kuwa J.

No comments:
Post a Comment